,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, May 8, 2015


Wasanii wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya jumamosi.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la show kwa pamoja.wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia burudani.



Nuh Mziwanda kushoto akiwa na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha wapenzi wao jumamosi hii hapo Antwerpen

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi