Millard Ayo na Shadee
Tuzo za Watu ambazo kwa mara ya pili zimefanyika jana Ijumaa 22 Mei 2015 katika hotel ya Hyatt, tuzo hizo zimehudhuriwa na watu mbalimbali, wasanii wa muziki, watangazaji wa televisheni na redio walihudhuria tuzo hizo zilizofana na kuwa za mafanikio.
Director anayependwa zaidi ameshinda Hanscana
Video inayopendwa zaidi na “Nani kama mama” Christian Bella
Msanii wa kike anayependwa zaidi Lady Jay Dee
Msanii wa kiume anayependwa zaidi “Ali Kiba”
Mtangazaji wa redio anayependwa zaidi “Dijaro Arungu”
Mtangazaji wa Tv anayependwa zaidi “Salim Kikike”
Kipindi cha redio kinachopendwa zaidi “Papaso” TBC 1
Msanii wa kiume anayependwa zaidi filamu “Hemed”
Msanii wa kike anayependwa zaidi katika filamu “Wema Sepetu”
Muongozaji wa filamu anayependwa zaidi “Ray Kigosi”
Filamu inayopendwa zaidi “Kigodoro”
Tovuti inayopendwa zaidi “Millard Ayo”
Kipindi cha Luninga kinachopendwa zaidi “Mkasi”
Martin Kadidnda (Kulia)
Ruby (katikati) na marafiki
Wema Sepetu akipiga interview na Shadee
Jaqcline Wolper
Salim Kikeke
Ommy Dimpoz (katikati)
Joh Makini na G Warawara
Wakazi na na Ay,Perfect kwa nyuma
Millard Ayo akihojiwa red carpet
Hii ni amazing fulani wasanii walitokelezea hatari

0 comments:
Post a Comment