ASHUKURU MUNGU GEORGE TYSON ALIACHA HUSIA.
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya mwaka mmoja baada ya kifo cha muuandaaji wa filamu George Tyson.Msanii Yvonne Cherrie maarufu Monalisa amelaani ndugu waliojitokeza baada ya kifo cha mme wake na kutoweka na baadhi ya mali za marehemu.Ameshukuru kwa husia kuachwa wanae Sonia na Eugene wamepata nafuu ya maisha.
MAREHEMU TYSON NA MWANAE SONIA.
Picha ya marehemu na familia yake enzi za uhai.Marehemu George Tyson alifariki kwa ajali akitokea Dodoma kuruda mkoani Dar es Salaam.Leo kutakua na misa ya kumwombea marehemu huyo Sinza Vatican kwenye kanisa la mchungaji Boniface Mwaiposa saa 6-8 mchana.
0 comments:
Post a Comment