AJILOWEKA NDANI YA MAJI.
Mwanadada Amber Rose mwenye umri wa miaka 31 na mama wa mtoto mmoja Sebastian aliyezaa na mwanamziki Wiz Khalifa ambao kwa sasa wametengana.Amemwaga radhi na kuonesha kazi ya uumbaji ilivyopendelewa na Mungu.Balaaa!!! mdada huyo amewahi kua mapenzini na Kanye West kabla ya Kanye kuwa Kim Kadashian.
Le mbebez huyo alikua ni mcheza show kwenye clabu za usiku,umaarufu ulikuja baada ya mahusiano na msanii wa hiphop Kanye West.Kwa sasa anajiusisha na tasnia ya mitindo.
0 comments:
Post a Comment