,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, May 23, 2015

  ATOA MCHOZI HADHARANI

le super mutindizz Zuwena Mohamed jina la kisanii Shilole AKA Shishi Bybee awapigia magoti watanzania na kutoa machozi  akiomba radhi kwa kile kilichotokea wiki chache zilizopita nchini Belgium.Akiwa jukwaani anadai mzuka/malele yalimpanda na kujikuta baadhi ya sehemu zake nyeti kuonekana huku wanaume wa kizungu wenye uchi na maumbile yake wakimbambia kisawasawa.
Msamaha huo ameomba akiwa katika kituo cha runinga cha EATV kwenye show ya friday night live.Anatambua kosa kwa kua yeye ni mama wa watoto wawili ambao wote ni wakike.Kipenzi chake Nuh Mziwanda alikuwepo pia akionesha sura ya upole na huruma katika kuwaomba mashabiki wao msamaha kwa utovu huo wa nizamu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi