Na
sasa penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba limefikia hatua ambayo haliwezi
kuwa siri tena. Wawili hao wamekuwa wakidaiwa kuwa wapenzi kwa miezi
kadhaa sasa lakini bado binafsi hawajeza kukubali wala kukataa.
Lakini
sasa huenda hatua za awali za kuelekea kuuweka hadharani uhusiano huo
zimeanza kufanyika. Alianza Jokate aliyepost selfie kwenye Instagram
akiwa na msanii huyo aliyejipa jina la King Kiba na kutoandika chochote.
Picha hiyo imepata likes 13,215 na comments 824.
0 comments:
Post a Comment