Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya aibu nyingine baada ya
kuachia picha zake katika mitandao ya kijamii ikilionesha tumbo lake la
ujauzito.Katika moja ya picha zake zilimuonesha akipigwa busu na mtoto
wa kaka yake aliyetambulika kwa jina la Nicole huku nyingine akilianika
tumbo lake wazi.
“Ni bora basi
angevaa nguo kusitiri hilo tumbo lake kuliko kulianika kiasi hiki,”
alisema mmoja wa mashabiki wake mtandaoni.Hii si mara ya kwanza kwa Aunt
kufanya aibu, inadaiwa kuwa aliliachana na mumewe na kukubali kupewa
hiyo mimba na dansa wa Diamond, Moze Iyobo.
0 comments:
Post a Comment