alitoa kauli hiyo hivi karibuni baada ya kunaswa na paparazi wetu akiwa amezungukwa na warembo huku akiwa amempakata mmoja wao katika sherehe moja iliyofanyika ndani ya Hoteli ya Lamada, Ilala, Dar.
“Hapa nimemkataza mke wangu asije kwenye hii sherehe maana angetibuka tu, wanawake wengi mashabiki wangu wananitaka kimapenzi kama hivi unavyoona wananizunguka na kunibusu, sijui wananipendea nini maana mimi filamu zangu nacheza sehemu zile za kutishatisha,” alisema msanii hu
0 comments:
Post a Comment