,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, April 29, 2015

"Leo tarehe 28 Aprili 2015 Vijiji viwili vya MWITONGO alipozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na MSOGA alipozaliwa Mgombea Uhuru Mzee Mrisho Kikwete vilipewa
heshima ya kutunukiwa majina katika Meli za Kivita za Tanzania.
Nikiwa Mwakilishi wa watu wa Chalinze kilipo kijiji cha Msoga, pamoja na Diwani wangu wa Msoga Mheshimiwa Mohamed Mzimba na Mwenyekiti wa Chama Kata ya Msoga Ndugu Peter Mwesidinga tulialikwa kushiriki. Ni heshima kubwa sana kwetu katika kipindi ambacho serikali inaendelea kuimarisha Jeshi na kulinda mipaka yetu ya Maji."




0 comments:

Post a Comment

ufunguzi