,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, April 19, 2015


Super star mpyaaa kazaliwa...bingwa wa Afrika. Mtanzania wetu aliyetangazwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2015. Rahaje?? Macho yoote ni Tanzania now kila mtu Mayunga...

.kubwa kuliko amepata deal la kurekodi Universal Records USA pia atakuwa bega kwa bega kwa kila hatua na kufanya collabo na AKON. Tunajivunia Mtanzania mwenzetu kuwakilisha kimataifa. 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi