,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, April 2, 2015


"Hakika huwezi amini hii ndiyo hali halisi ya wananchi wa Idimi Mbeya vijijini wakimbeba mgonjwa wao kwa machela kumpeleka hospitali ya Rufaa Mbeya yaani ni zaidi ya kilometa 10 kijijini hapo hakuna kabisa zahanati mweee hakika najionea mengi katika ziara yangu huku mbeya vijijini habari zote zitawajia katika blog ya Mbeya yetu."

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi