,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, April 2, 2015


HISTORIA
 
Pichani anaevishwa beji ya uanjeshi uliotukuka ni mmoja kati ya makomandoo hatari waliotokea kwenye jeshi la wananchi wa tz miaka ya 1964
..alikuwa ni mtu hatari ambaye alikiwa kwenye mstari wa mbele kwenye mapinduzi ya zanzibar kiasi kwamba baada ya mapinduzi ya znz ilibidi ahamishiwe Bara..kwa kuhofiwa na kina Karume angewaza fanya mapinduzi mengine

...Katika miaka 70 aliongoza kikosi maalum dhidi ya choko choko za rais KAMUZU BANDA wa malawi..ambapo alimwacha BANDA akiwa ahamini kilichotokea kinaweza fanywa na majeshi kutoka tz...ilifikia hatua serikali ya nyerere ilishindwa kumuamini na kumkabidhi kwa nchi mojawapo jirani na tanzania awasaidie kupata ukombozi...

Kazi aliyofanya huko mpaka leo imebaki kwenye vitabu vya historia alifariki na kuzikwa kwenye hiyo nchi..baada ya serikali ya tz kukataaa kumpokea kwa kumuofia sana..mkewe kwenye miaka ya 98 alikuwa mwanasiasa machachari sana tz..ni nani....ZAWADI YA 5000 leo

1 comment:

  1. Please watu wakishindwa kujibu, naomba tutajie ni muhimu sana kuwajua watu kama hao..

    ReplyDelete

ufunguzi