Akizungumza a waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, msemaji wa
Ikulu Bwana Salva Rweyemamu amesema Rais atasaini muswada huo, na suala
la kurekebishwa ni baada ya kusaini, mbona ule wa merekebisho ya katiba
ulirudi bungeni?
Alihoji Rweyemamu na kuongeza kuwa kelele zote unazosikia ni watu wenye interest zao tu wala hakuna lolote, na atausaini kwa sababu umefuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.

0 comments:
Post a Comment