Mwanamke
mmoja mwenye umbo la miraba minne ambaye unaweza kumuita Bonge baada ya
jina lake kutopatikana mara moja, wikiendi iliyopita alifikwa na msala
mkubwa alipo bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na
dereva wa teksi.
Chanzo chetu kilidai kuwa Bonge huyo alikuwa na
wenzake wakitoka kwenye kicheni party, walipofika maeneo ya Sinza-Afrika
Sana jijini Dar, aliwachenga wenzake na baada ya kumpata dereva huyo
ambaye aliahidi kumpa kiasi f’lani cha fedha ili ‘wakalicheze segere’
usiku mnene.
Chanzo hicho kiliiambia Timu ya Fichua Maovu (OFM) ya
Global Publishers kuwa baada ya makubaliano, walizama kwenye teksi na
kwenda kujificha kwenye kichaka kilichopo mita chache kutoka Kituo cha
Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’.
Wakiwa katikati ya mchezo, jirani
mmoja alisikia miguno ya kimahaba hivyo alipenyua pazia la dirisha lake
na kuwashuhudia laivu kitendo ambacho kilimkera ambapo alitoka nje na
kwenda kuwaita sungusungu ambao waliungana na OFM na kuwatimua wawili
hao huku bonge akitimka mbio na kuacha nguo yake ya ndani na kadi ya
mwaliko wa kitchen party.
0 comments:
Post a Comment