wapendwa wangu msione kimya nipo live kwa mbami nawaona you know...sema nn kuna kituko na umbea nafatilia sasa sijakamilisha na bado sijapata evidence sasa siunajua umbea wa kusikia sio mzuri raha yake uuone na uupime uzitonyie acheni tu mnao sema sina kazi mngejua kama hakuna kazi ngumu kama kutafuta umbea na kuakikisha watu wamefurahi...maana kwanza unakisikia kitu then unamtafuta mtu ambae ww unajua kabisa huyu
mkubwa wa habari umbea wote mujini anao yani unamuanzia mbali ehehhehehehehe utaanza na story ambayo ww hata hukutaka kumwambia ila
sababu unataka umbe itakubidi utauulizia adi ukoo wake afu ndo unaanza shoga umesikia fulani kafanya hivi yani huna uwakika ila utajifanya unajua ili na yeye akukosoe akupe umbea kamiliukimaliza hapo uende kwa mkubwa wa habari mwingine ambae ww unajua yuko close na huyo mtu nae umchimbe kwa kuanza kumuadisia sasa this time unaongea kwa uzuni ili aone umemuonea huruma yeye atakuamin atakupa na evidence kabisasasa ili usikamatwe utautuliza umbea kama siku 2 kisha unaumimina yani hii kazi ngumu nyie hamjui tu ukishaumimina unatulia kama lisaa kisha unarud tena kwa wakubwa wa habari unaanza JAMN MMEONA DOUGIEMASTA KAMCHAMBA FULANI hahajahaja yani katika hii kazi kuna uwigizaji wa hali ya juu nyie hamjui mnaona kazi rahisi ooh dougie huna kazi kawaambia nani mm nashinda 24/7 silali mtoto wawatu kutafuta umbea kazi naipenda kwel japo silipwi...so msisikitike nipo ila nasubiri evidence ya kituko na umbea maana kuna paketi ya ubuyu na sufiria ya pirau
0 comments:
Post a Comment