Posted by Williammalecela.com on Thursday, March 12, 2015
NIPO TAYARI KURUDIANA NA MUME WANGU- FLORAH MBASHA
 |
Florah |
Eeeeeeh
wadauzz hebu tufanye maaombi kuombea hii ndoa, shetani aliopo katikati
yao atokeee, aachie wanandoa hawa warudiane na waishi kwa amani, kuhusu
mtoto tunyamanze kwani kitanda hakizai haramu.......
shetani mbayaaaa
Florah yuko tayari kurudiana na mumewe endapo tu ataangukiwa na kuombwa msamaha,na si vinginevyo.
Asanteni.