,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, March 15, 2015

Ajali mbaya ambayo imetokea maeneo ya CBE Dodoma..Basi la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,
Chanzo cha ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semitrela lilikuwa limekata trela lake katikati ya bara bara kuu inayoelekea Dodoma Inn, Na basi hilo inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na trela hilo na katika jitahada za kujaribu kulikwepa liliingia kwenye mtaro na kugonga mti ambao..Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha ila majeuhi ni wengi na wamekimbizwa katika hospitali ya Genera

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi