,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, March 15, 2015

Leo katika picha ya siku ama iliyobamba, ni ya Mbunge wa Iringa, mjini, Mh.Mchungaji Peter Msigwa.
Kwa mujibu wa chanzo cha picha hiyo iliyowekwa na Msigwa mwenyewe, k upitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook na kuipa maelezo haya “Enzi hizo nauza mitumba (mantigo) Iringa MJINI kabla jengo la Tanesco halijajengwa……enzi hizo tuliita kumechisha.”


Mtandao huu umeona si vibaya tukishare historia hii ambayo inaweza kuwapa ujasiri vijana na kutokata tamaa katika kutafuta mafanikio ya ndoto zao.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi