Baada ya kudondoka kutoka kwa mzee madiba vijana wakazi wenye swagg za hatari leo wameingia katika upande mwingine baada ya kutoa Video na Audio yao inayo julikana kwa jina la #KIZUBANETA ambayo imefanyika katika studio za KALAWA nchini south Afrika.
Nakufanya video na director wa video nchini Adam Juma wa Next level unaweza kuona video hii kupitia hapa kwenye blog yetu sasa.
Angalia HAPA
0 comments:
Post a Comment