Posted by Williammalecela.com on Wednesday, March 11, 2015
 |
"MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM ,
Khadija Shaibu ‘ Dida’
amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne
akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo .
Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden ,
lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za
kutafuta mke bora hivyo haoni shida kumchangia .
“Ninachoamini mimi Ezden bado anasaka mke mwema na hiyo ni nzuri na wala
siwezi kuwa na bifu na mtu wake yeyote atakayempata , nitapenda sana.
Haya ndiyo maisha yasiyokuwa na chuki yanayotakiwa” alisema Dida." |
0 comments:
Post a Comment