Posted by Williammalecela.com on Thursday, March 12, 2015
 |
| Mkuu mpya wa Wilaya ya Mufindi Mh. Mboni Mhita mwenye gloves nyeupe aliyekuwa wa kwanza kwenye sehemu ya ajali ya jana iliyoua abiria 45 baina ya bsi la abiria kutoka Mbeya na Lori la kontena, Mkuu huyo akishiriki kuokoa na kuwaonngoza waokoaji walioshiriki kwenye tukio hilo la huzuni kwa Taifa zima jana live!!, Mkuu huyo mpya aliyeteuliwa na Rais hivi karibuni kushika nafasi hiyo pia ni Makamu wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa. |
0 comments:
Post a Comment