,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, March 13, 2015


Mwanamke komando aliejitolea maisha yake muhanga leo amekamatwa live akiwa uwanja wa ndege lagos akiwa ametokea pakistan kuchukua mzigo huo wa madawa ya kulevya.

Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 31 ajulikanaye kwa jina la Aladi Onyinye Juliet mkazi wa lagos  alikutwa na mkasa huo  katika uwanja wa Murtala Mohammed International Airport.


Alipo kamatwa alionekana mwenye huzunu na kujutia alilofanya kutokana nakile alichodai kuwa mumewe alimtelekeza na watoto akaamua kutafuta kazi ya kuendesha familia.
Categories:

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi