Meneja Rasilimali watu Kutoka Lake Group Mama Matha Mwansasu Akisema Machache leo Wakati Walipotembelea Kituo cha Kulelea Watoto yatima cha AL Madina Children Home Kilichopo Tandale Ikiwa ni Dhumuni la Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniania.Wakiwa katika Kituo hicho walikula Pamoja na watoto yatima Pamoja na Kutoa Misaada ya Mbalimbali ya mamilioni Ikiwemo Fedha Taslimu,Vyakula ,Nguo Pamoja na Mitungi ya Gesi na Majiko yakekatika Kituo Hicho Kinachokabiliwa na Changamoto Mbalimbali.
Meneja Mkuu wa Lake Group Mama Ismat Gillan Akiwa na Mkuu wa Kituo cha kulea watoto yatima cha Al Madina Mama Kuruthum Yusuph Wakati wafanyakazi wa Lake Group walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kuwa nao pamoja na kuwapa misaada mbalimbali.
Meneja Rasilimali watu Kutoka Lake Group Mama Matha Mwansasu akieleza jambo akiwa sambamba na Meneja uendeshaji wa Lake Group Bw Abeid Mzimba.
Meneja Mkuu wa Lake Group Mama Ismat Gillan Sambamba Meneja Rasilimali watu Kutoka Lake Group Mama Matha Mwansasu wakiwa na baadhi ya watoro yatima wa Kituo cha Al Madina cha Tandale Jijini Dar es Salaam
Meneja Rasilimali watu Kutoka Lake Group Mama Matha Mwansasu Akimkabidi mkuu wa Kituo hicho baadhi ya Misaada waliyotoa kwajili ya kituo hicho.,
Baadhi ya Wafanyakazi wa Lake Group wakiwa Katika Kituo cha Al Madina.
0 comments:
Post a Comment