
Nimekunywa chai na ndugu yangu William, mjini wanamwita ' Le Mutuz'.
William ananiambia Tanzania ni nchi ya ajabu, alipokuwa akiishi Marekani aliona kila kitu kinachoendelea na kuelewa,hakuhitaji hata darubini. Baada ya kurudi Bongo anashangaa kuona nchi imetanda ukungu. Kuna mengi yanayoendelea anashindwa kuyaona, hata kwa darubini!
0 comments:
Post a Comment