,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, March 23, 2015


Naye Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo amesema vijana watanzania waliomasikini wakatae viongozi wanaotaka uongozi kwa kutoa rushwa kwani wakikubali kununuliwa hawataweza kuzuia, viongozi hao wakitaka kurithisha watoto wao kwa rushwa, lakini pia vijana hao hawatakuwa na nafasi tena ya kuomba uongozi wowote.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA)
2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi wa jiji la Arusha kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid.3Naye Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo4Naye Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisisitiza jambo wakati wahutubia wananchi katika mkutano huo5Naye Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akimtangaza rasmi Bw.Prosper Mfinanga ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Arusha baada ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM  katika mkutano huo.6Bw.Prosper Mfinanga ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Arusha baada ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM  katika mkutano huo.7Bw.Prosper Mfinanga ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wilaya ya Arusha akimuonyesha moja ya mabango aliyoyaandika kuhamasisha amani jijini Arusha kutokana na vurugu mbalimbali zilizokuwa zikitokea kwa sababu ya maandamano ya wafuasi wa CHADEMA baada ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM  katika mkutano huo.8Kiongozi huyo akisaula magwanda yake jukwaani pamoja na wafuasi wengine wa chama hicho, kulia aliyeshika bendera ni katibu wa CCM mkoa wa Arusha Bw. Feruzi Bano alieshika bendera za CHADEMA na vifaa vingine vilivyorudishwa na wana CCM hao wapya9Nape Nnauye akiangalia moja ya suluali baada ya Bw Prosper Mfinanga kuivua jukwaani kwenye mkutano wa hadhara jijini Arusha.10ananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huoBaadhi ya w11Mmoja wa makada wa CCM Bi. Viola akimvisha skafu Bw. Prosper Mfinanga baada ya kutangaza kujiunga na CCM12Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli Bw. Amani Ole Silanga akionyesho moja ya fulana ya CHADEMA aliyokuwa anaitumia wakati akiwahutubia wananchi kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha .13Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli Bw. Amani Ole Silanga akionyesho moja ya vitabu vya  CHADEMA aliyokuwa anavitumia wakati akiwahutubia wananchi kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha .14Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli Bw. Amani Ole Silanga akiwaomba radhi  wananchi kwa yale aliyowahi kuyafanya akiwa CHADEMA wakati akihutubia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha .15Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo huku wakiwa wameshika vichwa vyao kutokana na kuguswa na hotuba ya Bw. Amani Ole Silanga.1617Bw. Amani Ole Silanga akisisitiza jambo katika mkutano huo.18Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli Bw. Amani Ole Silanga akipongezw akiwabhutubia wananchi kwenye uwanja wa a na Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Onesmo Ole Nangole .

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi