,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, March 23, 2015





haya kama ulikuwa huyajui haya basi habari ndio hiyo tumezoea kuyaona haya mambo bongo tu, sasa leo mwanadada maarufu model wa kenya huddah monroe ameamua afunguki na kuweka bayana kazi ambayo anayoifanya coz tumezoe kuona tu mapicha mara yupo dubai, mara south mara yupo na gari hili so haya ndio maneno aliyoyatamka mwanadada huddah monroe kupitia mtandao wa makubwa haya I am not a business woman , I am the business! so ukiwa kama mdau wa makubwa haya na shabiki unasemaje kuhusiana na kauli hiyo ya mwanadada huddah monroe.. 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi