Mrembo na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anaefanyia kazi zake inchi Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusia yo kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond
Platnumz kufuatia taarifa za udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu mbalimbali
kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusino ya siri.
0 comments:
Post a Comment