Niva kazini
Ma Director Mogera and Sulesh
Nive Super Marioo
Msaanii wa bongo Movie Hapa nchini Maarufu kwa jin a la NIVA wiki hii alikuwa akifanya kibarua kizito juu ya ujio wake mwingine katika tasinia hii ya bongo movie kupitia jiwe jipya litwalo CHALI WA NGARENARO .Ni movie iliyo sheheni mambo kadha wa kkadha ikiwemo maneno hadimu ambayo yatakuacha mtazamaji ubaki ukivunja mbavu bila kutegemea.
Katika movie hii pamehusisha wasanii wakutosha na wenye uwezo wa hali ya juu kama wasanii kama NIVA Kwa komedi MASAWE MTATA, KINYAMBE pamoja na wengine wenye uwezo wakutosha kwa wanawake RAYUU nk.
Hii inaitwa CHALI WA NGARENARO tegemea makubwa kutoka kwenye sinema hii hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment