Posted by Williammalecela.com on Thursday, February 05, 2015
Baba Levo ni msanii ambae kwa siku nyingi wengi wamekua wakimjua jinsi alivyo na uwezo wa kuchekesha, amekua akifanya utani kwa Wasanii wenzake na hata watu mtaani.
Utani wake umeanza kumpa nafasi ya kusikika kwenye show ya AMPLIFAYACloudsFM kila saa moja usiku ambapo Jumanne Feb 3 2015 alisikika na utani kuhusu msanii Diamond Platnumz, msikilize kwa kubonyeza play hapa chini.
0 comments:
Post a Comment