,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, February 20, 2015

 
Ajali mbaya imetokea mchana huu huko Mbande, Dodoma baada ya basi la Kidia One kugongana uso kwa uso na lori. Basi hilo limeharibika vibaya mno, inasadikika watu wengi wamepoteza maisha.



Endelea kufuatilia zaidi hapa Paparazi kwa taarifa zaidi!



0 comments:

Post a Comment

ufunguzi