Posted by Williammalecela.com on Wednesday, December 31, 2014


 |
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Leo tunauaga Mwaka 2014 just want to take this opportunity kuwatakia heri wote my people hasa the Daily visitors of this blog niliifungua this Blog Mwaka 2012 Mwezi wa May nia na madhumuni yangu ilikuwa kuhabarisha na pia kutafuta kuifungua milango mingine ya maendeleo yangu binafsi.
Sasa hivi naelekea kwenye ufunguzi wa Radio na TV Station yaani African Swahili Media Inc. ambayo ni matumaini yangu tutakuwa hewani by the end of January. Na kuanzia next week nitaanza kuandika makala za siasa kwenye magazeti baada ya kusimama kwa muda. Again I am humbled kupita maelezo nilirudi bongo miaka 4 iliyopita from USA baada ya kukaa nje for almost 30 years I came home as a stranger lakini believing in God here I am live and strong like never before in my life, pamoja na changamoto na vikwazo vingi vya kuwekewa na bina adam wenye roho mbaya lakini haikusaidia kunizuia leo I have my own home at downtown Bongo na I am going mbele never look back kwenye maisha yangu huwa sijali yaliyopita huwa ninajali yanayokuja tu! So wale mnaopoteza muda wenu na kuyaangalia mapungufu yangu please take time kuangalia mapungufu yako utaona kwamba ni Mungu tu ndiye anayeweza kunihukumu mimi na wewe sio wewe U know hahahahahaha!! Jamani nawatakia heri wote muwe na Mwaka mpya wenye neema zaidi ya Mwaka jana!! - Le Mutuz Big Show |
0 comments:
Post a Comment