,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 25, 2014

Msanii wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’.MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya.Akipiga stori na gazeti hili, Msungu alisema anamshukuru Mungu kwani ungekuta sasa hivi ni maiti kwani ajali ilikuwa ni mbaya maeneo ya Bondeni, jijini Dar akielekea nyumbani kwake Tegeta ambapo gari lake alilokuwa akiliendesha aina yaToyota Vits liliacha njia na kutumbukia mtaroni.

“Yaani ni Mungu tu kwani ungekuta sasa hivi watu wanazungumza mengine japokuwa ninasikia maumivu makali sana ya kifua na shingo pia gari limeharibika vibaya,” alisema Msungu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi