,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 25, 2014

John ni mkazi wa Kijiji cha Sokoni One, mkoani Arusha, amekua akisumbuliwa na ugonjwa huo kwa kipindi cha miaka miwili bila kupata nafuu na hali yake inazidi kubadilika kila mara ingawa ametakiwa na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kufanyiwa upasuaji wa pili baada kufanyiwa hivyo huko nyuma.
Mgonjwa huyu anazunguka huku na kule kutafuta fedha bila mafanikio na kwa sasa anawaomba watu wenye huruma wamchangie ili akamilishe tiba yake. 
FAMILIA INAISHIJE?
“Nina familia ya mke na watoto nane, walikuwa wakiishi kwa kunitegemea lakini kwa kipindi cha miaka miwili sasa wamekosa msaada wangu, kwani nimekuwa nikizunguka hospitali kadhaa huku nikiwa na mke wangu kutafuta matibabu lakini tunakumbana na vikwazo vingi kikiwemo cha ukosefu wa fedha. 

1 comment:

  1. EE MUNGU MSAIDIA .YAANI JAMANI Q CHIEF ALIIMBA BORA UZALIWE PAKA ULAYA UKAKUTANE NA STRESS LAKINI UDUMA YA MARADHI UIPATE
    .HII NI KANSA YA UTUMBO NA ANAWEKEWA STOMA EUROPE UNATIBIWA BUREE NA OPERATION YAKE NI KAMA KITOBO TUU
    HUWA NAJIULIZA MADAKTARI WA NYUMBANI WAMESOMEA WAPI?
    MIE NAWATOTO 4 WOTE
    JAMANI WATANZANIA TUJOPERATION YAANI HATA NIKIKUONESHA HUWEZI AMINI.
    TANZANIA IMEJAA MATAJIR MATATIZO KAA HAYA SIO YA KUWAFANYA WATANZANIA WAOMBE MSAADA INGEKUWA BUREE.

    NAJITOKEZA NAWE JITOKEZE TUOKOA MAISHA YA MTANZANIA
    ITOKEZE TUOKOE MAISHA YA MWENZETU
    EE MUNGU IBARIKI NCHI YETU IWE KAA ZA WENZETU HUDUMA YA

    ReplyDelete

ufunguzi