Mwishoni mwa mwezi uliopita msanii anayewakilisha vyema taifa lake la Tanzania Diamond Platnumzalikuwa anafanya show kubwa mjini Stuttgart,Ujerumani na show kushindikana kufuatia vurugu kubwa katika ukumbi ambapo chanzo cha vurugu hizo ni kutokana na Diamond kuchelewa kupanda jukwaa.
YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014... kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart... lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events...SOMA ZAIDI>>

0 comments:
Post a Comment