HOPPED MY MONEY COZ I DON CARE
| tafadhali narudia tena kwa msisitizo tafadhali ZOOM KIATU |
| kuna yeyote ana la kuongea? utakuwa mchawi |
| Namshukuru Mungu mtoto nimeiva umeona kiatu |
![]() |
| mambo hayaaa |
| unstoppable ze don |
![]() |
| Ms Manongi |
![]() |
| my girlzzzzzzzz |
| totooo la kipareeee |
| CEO wa Dodoma aaah |
| mambo ya fedha usishangae |
| oyeahhhh |
batoto wasiokuwa na makuu, sio unafanya birthday unawalisha watu, unawanywesha kesho yake wanakusema live bila chenga, snitches, Heeee maana jiji hili these days limejaa unafiki jamaniiiiii.
Nashukuru Mungu birthday yangu haijanikuta ktk huu mji, we had a blast with mad fuuuuuun.
kuna yeyote mwenye swali???
JUMAA KAREEM
CEO







0 comments:
Post a Comment