Posted by Williammalecela.com on Saturday, June 15, 2013
BREAKİNG NEWS
Katika hali isiyokuwa ya kawaida bomu la kurusha kwa mkono limerushwa
baada ya kamanda Mbowe kumaliza kuhutubia na hatimaye limeua watu kadhaa
na kujeruhi. Hali ni ya hatari kwa sasa.
0 comments:
Post a Comment