,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, May 31, 2013


"THE MBONI SHOW leo inatimiza mwaka tangu ianze kuruka hewani EATV. Namshukuru sana MWENYEZI MUNGU kwa kuweza kunifikisha hapa, nakuomba MWENYEZI MUNGU uzidi kunipa nguvu, uadilifu, na maisha marefu ili niweze kufanya mazuri kwa ajili ya nchi yangu. Asanteni sana wale wote mlinisaidia tangu mwanzo mpaka sasa na tuzidi kushikamana ili nizidi kufika mbali. Asante saaaana mama angu na familia yangu yote kwa ujumla, Director wangu GEORGE TYSON, Kaka angu WASIWASI, Cuzn yangu HALUA, rafik zangu ndugu zangu SHAMIM, HALIMA, ma up artist wangu MAXEL, Cuzn yangu DIANA wa American Nails na EATV ni wengi cwez wataja wote lkn juen wote mnathamani kubwa sana kwangu. Na nawapenda wote. Mungu saidia THE MBONI SHOW idumu."
Like · · · about an hour ago via mobile ·

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi