,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, May 31, 2013

Hatimaye mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo aliyepo jijini Johannesburg, Afrika Kusini amefanikiwa kuongea na M TO THE P ambaye amelazwa kwenye hospitali ya St. Helen jijini humo. Kulikuwepo na tetesi kuwa msanii huyo aliyekuwa pamoja na Mangwea naye alifariki.
m
Akiongea kwa shida, M to the P amewaomba watanzania wamuombee. Amesema bado anasikia maumivu ya kichwa na sehemu za kifua

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi