Posted by Williammalecela.com on Sunday, May 19, 2013
 |
| Huu ndio Muonekano mpya wa Live Base Post Station ya Le Mutuz Super Blogu ya Wananchi, at Tancot House Downtown/Bongo baada ya juzi kuongezekewa na Vifaa vipya vya Ki-Digital vyenye thamani ya USD $ 5,000 ikiwa ni sambamba na matayarisho ya kuwa Official Blog ya Finali za Mashindano ya Miss Redds Ilala 2013 na Miss Redds Temeke 2013. Sasa hivi Blog ya Wananchi inapitia ukarabati mkubwa sana na wa ajabu wa kuifanya Blog sasa iwe Full Digital in the process tunapenda tena kuwaomba radhi our daily visitors kwamba sasa hivi tunapitia a very pain full time na ndio chanzo cha matatizo madogo maodogo mnayoyapitia. Lakini soon yataisha na tutakuwa hewani like never before, again tunawaomba radhi sana watumiaji wote wa Blog hii kwa usumbufu huu ni muda tu lakini utaisha very soon! MUCH RESPECT! - Le Mutuz Super Blogu Ya Wananchi. |
|
|
|
|
|
|
|
|
0 comments:
Post a Comment