- Mheshimiwa Mangi Hitimana and Elizabeth Chokani like this.
- Dominica Leonard Sondoka Ahahahaa jmn mcnichekeshe mie uwiiiiiiiiiiiiii mmeamua kutoa makavu live ahahahaaaaa.
- Francis Godwin Dada Herieth Amos haya mambo mbona ya siri sana na huoni kama wajivunjia heshima yako pia kwani wengi tunakuheshimu kama ni dadatu ila hata kama mlizungumza mambo yenu ilipendeza basi kutumia njia nyingine kufikisha ila kwa hapa binafsi naona si ustarabu kabisa kwani mnatuhusisha wengi mambo yenu ni ushauri
- Rachel Azizi Mmmmh! Majanga ayo?
- Herieth Amos Hii pic alinitumia akiwa china fala huyu asidhani mi malaya nina mume wangu ananijal xana na bado watakoma mwaka huu.
- Michael Lawrence Daah hata mm nakuheshimu sana ila i know somtime ni hasira dada futa bwana hii kitu sio nzur
- Younglover Kiparah Assenga DADA UMEMIND BAADA YA KUGUNDUA MUMECHAPWA WENGI HAPANA CHEZEA WANAUME WANAOJUA KUONGA
- Venance Mnyone Umekosea sana ilibidi muongee p8 kama mlivyo kuwa mnafanya tangu hawali, sema ndio kila m2 ana uhuru w kusema bc sawa!! N pole sana braza kw hali ii
- Venance Mnyone Umekosea sana ilibidi muongee p8 kama mlivyo kuwa mnafanya tangu hawali, sema ndio kila m2 ana uhuru w kusema bc sawa!! N pole sana braza kw hali ii
- Elizabeth Chokani haya majanga ss
- Kaka Ommy Sio fair hii
Kwani kutongoza na kuwa wapenzi ni makubaliano sio lazima
Itunze heshima yako kwa kuiondoa hii post na zaid itakupunguzia marafiki - Herieth Amos @Brian usiongee kitu coz hujui hajagonga hata dem mmoja muulize na ndo maana nimemuweka wazi kama kanito..a aseme ukweli hapa hapa umalaya dawa yake ndo hyo mi so malaya ajue wazi leo bora mniue nimechoka
- Elly Madinda Plz nakuomba uiremove hii kwa kuepuka kumdhalilisha mke wake na watoto kimsingi hawahusiki pia hata Mume wako pia hapa atakua anadhalilika na yeye samahani sana dada angu plz naomba uitoe hii
- Harun Omary kimenuka mtaa huu.......nipo hapo mbeleee
- Younglover Kiparah Assenga ATA KAMA MUMEGONGWA HAMUSEMI
We UNANUNULIWA TYT NA MWANAUME ACE MUMEO UNAPOKEA MUPUNGUZE KUJIRAHISI DAWA NI HIYO KUTEMBEZA MKIA TU
Ni mawazo yangu tu - Brian Lemnge Huku huhonga kwake ndo kutamu
Sunday, May 19, 2013
MBEBS WA UKWHEEEE AMCHANA LIVE MZEE ANAYEPENDA KUTOKEA SANA MABEBS FACEBOOK!! YAANI LIVE ONA HAPA!!!
Posted by Williammalecela.com on Sunday, May 19, 2013
1 comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Angekuhonga cha maana usingemuanika hapa ila kwavle kakupa tyt ndo maana kumbe mlianza kuwasiliana muda mpk na picha kakutumia ulisubiri kwa hamu zawad!umejidhaliliisha na kakuona we wa tyt ndo hadhi yako!
ReplyDelete