,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, November 8, 2012

Default Membe: Hatuwezi kuongozwa na Rais mbumbumbu, asiyeweza kujieleza!


Akihojiwa na waandishi wa habari bungeni leo waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, Mh. Bernard Membe amesema ni vizuri kabla ya uchaguzi wagombea urais wapimwe kwa midahalo kwa kutumia wasomi waliobobea.

Amesema apimwe kwa lugha zote kiswahili na kiingereza kama anajua kujieleza, ameendelea kueleza hatuwezi kuwa na rais mbumbumbu asiyejua kitu hata kujieleza kwa watu.ameongea hayo alipoombwa kuongelea uchaguzi wa marekani.


Source: Startv habari

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi