Watu
wanne wamejeruhiwa kwa silaha za jadi na kukimbizwa hospitali baada ya
kutokea kwa mvutano wa kupinga uchimbaji wa mchanga katika eneo la
Kigezi Chanika kata ya majowe na jeshi la polisi kulazimika kuingilia
kati mgogoro huo uliodumu kwa saa tano.

0 comments:
Post a Comment