,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, September 25, 2012


Tunajivunia na Kwetu Fashion Designer by Missy Temeke kwa maandalizi mazuri yaliopendeza kiustadi katika Dinner Fundraiser, iliofanyika jana Jumapili Sept 23, 2012, ndani ya ukumbi wa Keystone Room East Evenue, NW Washington DC Nchini Marekani na kuitangaza zaidi Nchi yake Tanzania kwa ubunifu wa mitindo ya kinyumbani, pamoja na kujitolea rasmi kuisadia nchi yake!

Mwanamitindo Mbunifu  wa  Kwetu Fashion, Missy Temeke ambae amejitolea kukuza fani yake kwa ubunifu wa mitindo ya kinyumbani kwa kushirikiana na wadau mbali mbali kumuunga mkono katika  Maonyesho ya ubunifu wa nguo zake katika  Dinner Fundraiser ya kusaidia  Nchini Tanzania

  
Master of Ceremony: Siku zote sherehe kamahizi huwa zinaendeshwa na wabunifu wenye funi na kipanji cha kuongea Bwana Emmanuel Muganda ndie alikuwa MC wa jukwa la Ketu Fashion pamoja Dinner Fundraiser siku hiyo

Dua: Aliefungua rasmi kwa dua na maombi ya Mungu katika Dinner pamoja na Fashion Show hiyo ni Pastor Fred Warfield


Muziki: Ufunguzi wa dua kilichofuatia, kundi zima la Bethel Swahili Revival Choir likitumbuiza kwa nyimbo za Mungu.

  
Mgeni rasmi: Kaimu Balozi wa Tanzania Mhe. Lilly Munanka alikuwa mgeni rasmi wa Dinner na Fashion by Missy Temeke


Vazi la  jioni baada ya mapumziko mwanana uliobuniwa na Mwanamitindo wa Kwetu Fashion, Missy Temeke.

 
Muonekano wa nyuma wa vazi la Jioni 

Mtindo ya Kimasai na Kwetu Fashion by Missy Temeke.

Vazi  la kutoka Usiku wa maraha usiku wa chombeza time
Kwa wale wenye Ofisi ni Vazi la Ofisini ama Dinner Time

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi