Uzao wa THT, na huyu ni mwadada machachari anaekuja kwa kasi Rachel, akipagawisha juu ya jukwaa madhubuti la SERENGETI FIESTA 2012 ndani ya uwanja wa Samora mjini Iringa hivi sasa.Hapa wakazi wa Iringa wakimwangalia Tausi, mwana dada ambaye naweza kusema ni mfupi kuliko wote ambao nimekwisha wahi kuwaona maishani mwangu.Mkali Lenex akifanya vitu vyake jukwaani, hakika Serengeti Fiesta Iringa ni Bhaaaaass!!![]()
Wadau wa Serengeti fiesta Iringa na Dar es Salaam nao wapo hapa Uwanja wa Samora Iringa kupata burudaniNdani ya uwanja wa Samora Mjini Iringa ndo kwaaaanza kumekucha katika tamasha kubwa na la aina yake ya SERENGETI FIESTA 2012 ambapo linajiachia usiku huu hadi Bhaaaaaass!!Wameanza kupanda wasanii chipukizi wa mjini Iringa na vitongoji vyake.Watu ndo nao kama hivi nab ado wanamiminika uwanjani.
You might also like:
0 comments:
Post a Comment