Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 22, 2012
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Kapteni Mstaafu James Lyamungu amefariki dunia
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Kapteni Mstaafu James
Lyamungu amefariki dunia,kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mara Bw. John Tuppa
amesema ameshutushwa na Msiba huo na kuwapa pole wananchi wote wa Serengeti na
mkoa wa Mara.
0 comments:
Post a Comment