,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 22, 2012

Makomandoo wa Chadema wakimburuza na kumtoa nje kwa nguvu Mama ambaye ni mzazi mwenye watoto na wajukuu, eti kwa sababu tu ni Mkuu Wilaya sasa wanamtaka aisaidie Chadema kwa nguvu, vitisho na mabavu, kwenye uchaguzi uiopita wa ubunge wa Igunga.

- Ingawa aliyewapa Chadema ushindi mahakamani jana ni mwanamke aliyeamua kufumbia macho haya ya maonezi kwa mwanamke mwenziwe, lakini ni muhimu tukawakumbusha vyama vya siasa kuheshimu kina mama na wao ni wananchi wenye haki kama sisi wengine, yaani wanaume sio haki wala sheria kumuonea a helpless mother mwenye mpaka wajukuu, hii sio sawa.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi