,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 22, 2012


"mambo vipi ndugu zangu me nipo poa wala sijaumia nipo mzuka kama kawa, kutokana na game ya juzi mimi na mchumia tumbo,kikubwa kilichonikwamisha ni ring ilikuwa imejaa sana maji na matope,tokea game za utangulizi watu walikuwa wananguka tu hovyo kwa wale wanaojua boxing na sheria waliona kitu kilichotokea ni sawa sawa kama tulikuwa tunapigana kwenye swiming pool na mimi nimechelewa kufika pale mchumia tumbo alikuwa amewai kufika mapema na amesha usoma uwanja kama unateleza mimi nilipofika kwenye ring nikamwambia refa kama ring inateletaza akaniambia pigana hivyo ivyo kosa langu kubwa nilipomfuata kwenda kumshambulia mchumia tumbo niliteleza na kukutana nae then nikaenda chini, ndio maana yeye alikuwa amesimama seem moja tu na mimi ndio nilikuwa namfuata kumshambulia wkti naenda kumshambulia ndio nilikuwa nateleza na kukutana na ngumi yake ni bora kama angenipiga seem yenye mandalizi mazuri ningekubali si ni sport coz asiekubali kushindwa sio
mshindani ila sio pale kwenye matope game imeandaliwa kienyeji tu ubingwa wa tz unafanyika kwenye matope sijawai kuona ndio maana ngumi za tz aziwezi kufika popote,nilikwenda kupigana sio sababu ya kupata pesa no nilipigana kama mimi ni mwanamichezo,ila asante sana kwa wale fans wangu wote walionisurport tokea mwanzo, boxing ni mchezo wa upendo na nidhamu sana mimi ni mpiganaji na hii sio game yangu ya kwanza kupigana nitaendelea kupigana mwanzo mwisho wala sikatishwi tamaa speed yangu ni ile ile tu,na game yangu dhidi ya mchumia tumbo itarudiwa sponser naomba wajitokeze tupigane sehemu poa na tuonyeshe sport tena niwape raha fans wangu kama game zangu za mwanzo sio game ndani ya swiming pool tupo pamoja sana ndugu zangu kushindwa sport sio kushindwa maisha ni ujanja wa akili tu tupo pamoja sana wanajeshi wangu, amout."
· · · 54 minutes ago near Dar es Salaam ·

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi