William Malecela, jana akiwa na wachezaji Sinema Maarufu nchini Super Wolper kushoto na Super Wema Sepetu kulia, kwenye VIP LOUNGE uwanja wa Taifa mjini Dar, baada ya pambano lao la ndondi la Raundi mbili ambalo lilihudhuriwa na washabiki wengi sana na lililokuwa limesubiriwa kwa muda mrefu msana kutokana na BIFU kubwa kati ya hawa ma-star wawili, ambapo walitoka Drooo.


0 comments:
Post a Comment