Posted by Williammalecela.com on Friday, July 06, 2012
Kwa niaba ya Mundu sanaa group!
Tunatoa pole kwa uongozi wa Over Comes FM na wanahabari wote kwa
kuondokea na mtangazaji wa kituo cha Redio Over Comes FM, "Lilian
Msandi" na kwa taarifa zilizotufikia hivi punde,ni kwamba mazishi
yatafanyika leo Lungemba Ifunda.MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWAA.
0 comments:
Post a Comment