William Malecela, alipokwenda mitaa ya Temeke Wailes kumtembelea Rafiki yake mpenzi walipokuwa Sekondari School Mahenge, Ndugu Yahaya Jeneto; hapa akiwa na familia ya Yahaya, kushoto ni mdogo wake Yahaya, na Marehemu Baba yake Yahaya, na miwsho kulia Yahaya mwenyewe.
0 comments:
Post a Comment